Hubadilisha pH ya maji ya kunywa na kuyafanya yawe alkalescent, kwa hivyo, kupunguza makali ya acid metabolites, inaweka vizuri uwiano wa acid-base mwilini na kurekebisha uwingi wa tindikali katika mwili;
Kubadilisha vikundi vya molekuli za maji kuwa vidogo, kuviwezesha kupenya na kuyeyuka kirahisi zaidi. Kuboresha kasi ya ubadilishwaji wa maji ndani na nje ya seli, hivyo kuboresha shughuli za kimetaboliki;
Hutengeneza anions, ambazo huzipooza free radicals na hivyo kupunguza madhara ya antioxidants katika seli;
Kuulisha mwili madini zaidi ya aina 20 yaliyoyeyuka katika maji ya kunywa
.
Yafaa kwa:
Watu wenye blood pressure ya juu, uwingi wa sukari na lipids;
Watu wenye matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na maini;
Watu wanaokula junk foods mara kwa mara au wenye uwingi wa sumu kutokana na kuvuata sigara au kunywa pombe;
Watu wanaokosa usingizi au wenye matatizo ya usingizi;